Wakaazi Wa Trans Mara Kusini Wapongezwa Kwa Kudumisha Amani
Trans mara kusini: Katibu mkuu katika Idara ya Utalii na Wanyamapori, John Olotuaa, amewapongeza wakaazi wa Trans Mara Kusini kwa kudumisha amani, akibainisha kuwa maelewano miongoni mwa jamii tofauti ni muhimu kwa maendeleo endelevu na kuboresha mais…