Category:

Kiongozi Apigia Upato Kwa Kilimo Cha Mpunga

Nyeri: Mjumbe wa Bunge la Kaunti ya Homa Bay ametoa wito wa kuongezwa kwa uwekezaji katika kilimo cha mpunga ili kuimarisha utoshelezi wa chakula na kuunda nafasi zaidi za ajira katika kaunti hiyo. Akizungumza katika bunge la kaunti, mwakilishi huyu w…