Usalama Waimarishwa Kaunti ya Nakuru Wakati wa Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne.
Nakuru: Kaunti kamishna wa Nakuru, Loyford Kibaara amesema kuwa usalama umeimarishwa katika sehemu ambazo zimekumbwa na utovu wa usalama ili kuhakikisha kuwa watahiniwa wanafanya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne kwa amani. Bw. Kibaara alisema kuwa…