Familia Yawaomba Msaada Kumsaidia Mwanao Kujiunga Na Gredi 10
Narok mashariki: Familia moja katika eneo la Ntulele, Narok Mashariki, wanawaomba wahisani kujitokeza na kumsaidia mtoto wao kuweza kuhifadhi nafasi yake ya gredi ya 10 katika shule ya sekondari ya juu ya St. Joseph iliyoko katika gatuzi la Nyeri. Lit…