Wakaazi wa Kuresoi Kusini Wanufaika na Maji Safi Kupitia Mradi Mpya
Kuresoi Kusini: Wakaazi zaidi ya 1,500 kutoka wadi ya Keringet katika eneo bunge la Kuresoi Kusini wanatarajiwa kunufaika na maji safi ya kunywa yatakayoletwa na mradi wa maji wa Soitaran ambao unapangwa kuanza wiki hii. Mradi huu wa maji, unaoendeshw…